Pular para o conteúdo
Publicidade

Yakobo 2:14,17,18,24

SRUV Swahili Revised Union Version

Imani bila matendo imekufa

14 Mt 7:21;21:29Ndugu zangu, yafaa nini, mtu akisema ya kwamba anayo imani, lakini hana matendo? Je! Ile imani yaweza kumwokoa? 17 Vivyo hivyo na imani, isipokuwa ina matendo, imekufa nafsini mwake. 18 Gal 5:6Lakini mtu atasema, Wewe unayo imani, nami ninayo matendo. Nionyshe imani yako pasipo matendo, nami nitakuonesha imani yangu kwa njia ya matendo yangu. 24 Yn 8:39;Rum 4:12Mwaona kwamba mwanadamu huhesabiwa kuwa ana haki kwa matendo yake; si kwa imani peke yake.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    14 Ndugu zangu, yafaa nini ikiwa mtu atadai kuwa anayo imani lakini hana matendo? Je, imani kama hiyo yaweza kumwokoa? 17 Vivyo hivyo, imani peke yake, kama haikuambatana na matendo, imekufa.

    18 Lakini mtu mwingine atasema, "Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo."

    Nioneshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonesha imani yangu kwa matendo.

    24 Mnaona kwamba mtu huhesabiwa haki kwa yale anayotenda wala si kwa imani peke yake.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    14 Ndugu zangu, yafaa nini ikiwa mtu atadai kuwa anayo imani lakini hana matendo? Je, imani kama hiyo yaweza kumwokoa? 17 Vivyo hivyo, imani peke yake kama haikuambatana na matendo, imekufa.

    18 Lakini mtu mwingine atasema, "Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo."

    Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo.

    24 Mnaona ya kwamba mtu huhesabiwa haki kwa yale anayotenda wala si kwa imani peke yake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.