Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Coríntios 15

54 Kwa hiyo, mwili huu wa kuharibika utakapovaa kutokuharibika, nao huu mwili wa kufa utakapovaa kutokufa, ndipo lile neno lililoandikwa litakapotimia: "Mauti imemezwa kwa kushinda."

55 "Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako?

Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?"

56 Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria. 57 Lakini Mungu apewe shukrani, yeye atupaye ushindi kupitia kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi.

Veja também