Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Samweli 28:7,15

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

7 Basi Sauli akawaambia watumishi wake, "Nitafutieni mwanamke mwaguzi ili nimwendee, nipate kuuliza kwake."

Watumishi wake wakamwambia, "Yuko mwanamke mmoja huko Endori."

15 Samweli akamuuliza Sauli, "Kwa nini unanitaabisha kwa kunipandisha juu?"

Sauli akasema, "Mimi ninasumbuka sana, kwa maana Wafilisti wanapigana vita dhidi yangu, naye Mungu ameniacha. Hanijibu tena kupitia manabii wala kwa ndoto. Kwa hiyo nimekuita wewe ili unijulishe la kufanya."

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    7 Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake, Nitafutieni mwanamke mwenye pepo wa utambuzi, nipate kumwendea na kuuliza kwake. Watumishi wake wakamwambia, Tazama, yuko mwanamke mwenye pepo wa utambuzi huko Endori.

    15 Mit 5:11;14:14;1 Sam 18:12Ndipo Samweli akamwambia Sauli, Mbona umenitaabisha mimi, hata kunipandisha juu? Sauli akajibu, Mimi nimetaabika sana; kwa kuwa hao Wafilisti wananifanyia vita, naye Mungu ameniacha; hanijibu tena, wala kwa manabii, wala kwa ndoto; kwa hiyo nimekuita wewe, ili wewe unijulishe nifanyeje.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    7 Basi Sauli akawaambia watumishi wake, "Nitafutieni mwanamke mwaguzi ili nimwendee, nipate kuuliza kwake."

    Watumishi wake wakamwambia, "Yuko mwanamke mmoja huko Endori."

    15 Samweli akamuuliza Sauli, "Kwa nini unanitaabisha kwa kunipandisha juu?"

    Sauli akasema, "Mimi ninasumbuka sana, kwa maana Wafilisti wanapigana vita dhidi yangu, naye Mungu ameniacha. Hanijibu tena wala kwa njia ya manabii wala kwa ndoto. Kwa hiyo nimekuita wewe ili unijulishe la kufanya."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.