Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Coríntios 13

Salamu za mwisho

11 Hatimaye, ndugu zangu, kwaherini. Kuweni wakamilifu, farijianeni, kuweni na nia moja, na mkae kwa amani. Naye Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.

12 Salimianeni kwa busu takatifu.

13 Watakatifu wote wanawasalimu.

14 Neema ya Bwana Isa Al-Masihi, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho wa Mungu ukae nanyi nyote.

Veja também