Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Coríntios 6

Msifungiwe nira pamoja na wasioamini

14 Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini. Kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15 Kuna mapatano gani kati ya Al-Masihi na Beliari6:15 maana yake Uovu, yaani Shetani? Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini?

Veja também