Sulemani ajenga Hekalu
1 Ndipo Sulemani akaanza kujenga Hekalu la Mwenyezi Mungu katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo Mwenyezi Mungu alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna3:1 au Ornani kwa Kiebrania Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi.