Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Mambo ya Nyakati 3:1

SRUV Swahili Revised Union Version

Sulemani ajenga hekalu

1 1 Fal 6:1;1 Nya 29:19;Yn 2:19-21;1 Kor 6:19;Mwa 22:2;1 Nya 22:1Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye alipotengeza mahali pale alipoagiza Daudi, katika kiwanja cha kupuria cha Arauna3:1 Au, Ornani. Myebusi.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    1 Ndipo Sulemani akaanza kujenga Hekalu la Mwenyezi Mungu katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo Mwenyezi Mungu alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna3:1 au Ornani kwa Kiebrania Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    1 Ndipo Solomoni akaanza kujenga Hekalu la Bwana katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo Bwana alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna,3:1 Pia anaitwa Ornani kwa Kiebrania. Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.