Tarumbeta ya saba
15 Yule malaika wa saba akaipiga tarumbeta yake, pakawa na sauti kubwa mbinguni iliyosema:
"Ufalme wa ulimwengu umekuwa
ufalme wa Bwana wetu na wa Al-Masihi wake,
naye atatawala milele na milele."