Pular para o conteúdo
Publicidade

Apocalipse 22

8 Mimi, Yohana, ndiye niliyesikia na kuyaona mambo haya. Nilipokwisha kuyasikia na kuyaona, nilianguka chini nikasujudu miguuni pa yule malaika aliyekuwa akinionesha mambo hayo. 9 Lakini yeye akaniambia, "Usifanye hivyo! Mimi ni mtumishi pamoja nawe na ndugu zako manabii na wote wanaoyashika maneno ya kitabu hiki. Msujudie Mungu!"

Veja também