Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo Ya Mitume 17

2 Kama ilivyokuwa desturi yake, Paulo aliingia ndani ya sinagogi, na kwa muda wa Sabato tatu akawa anahojiana nao kutoka kwa Maandiko, 3 akidhihirisha wazi na kuthibitisha kwamba ilikuwa lazima Al-Masihi17:3 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta. ateswe na afufuke kutoka kwa wafu. Akasema, "Huyu Isa ninayewaambia habari zake, ndiye Al-Masihi."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também