21Remethi, En-Ganimu, En-Hada na Beth-Pasesi.
36Adama, Rama, Hazori,
46Me-Yarkoni na Rakoni, pamoja na eneo linalotazamana na Yafa.
27 resultados encontrados
21Remethi, En-Ganimu, En-Hada na Beth-Pasesi.
36Adama, Rama, Hazori,
46Me-Yarkoni na Rakoni, pamoja na eneo linalotazamana na Yafa.
14Wayebusi, Waamori, Wagirgashi,
5Utukufu una yeye milele na milele. Amen.
11Ndugu zangu, nataka mjue kwamba Injili niliyowahubiria haikutokana na wanadamu.
16alimdhihirisha Mwanawe kwangu, ili nipate kumhubiri miongoni mwa watu wa Mataifa. Mimi sikushauriana na mwanadamu yeyote,
6Nitie kama muhuri moyoni mwako,kama muhuri kwenye mkono wako;kwa maana upendo una nguvu kama mauti,wivu wake ni mkatili kama Kuzimu8:6 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, yaani Shimo lisilo na mwisho..Unachoma kama mwali wa moto,kama mwali mkubwa wa moto wa Mwenyezi Mungu hasa.
7Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo,mito haiwezi kuugharikisha.Kama mtu angetoa mali yote ya nyumbani mwakekwa ajili ya upendo,angedharauliwa kabisa.Rafiki
9Kama yeye ni ukuta,tutajenga minara ya fedha juu yake.Na kama yeye ni mlango,tutamzungushia mbao za mwerezi.Mpendwa
1Fuateni upendo na kutaka sana karama za roho, hasa karama ya unabii.
2Kwa maana mtu yeyote anayesema kwa lugha, hasemi na wanadamu bali anasema na Mungu. Kwa kuwa hakuna mtu yeyote anayemwelewa, kwani anasema mambo ya siri kwa roho.
32Roho za manabii huwatii manabii.
2Kila mmoja wetu inampasa kumpendeza jirani yake kwa mambo mema, ili kumjenga katika imani.
7Karibishaneni ninyi kwa ninyi kama Al-Masihi alivyowakaribisha ninyi ili kumletea Mungu utukufu.
33Mungu wa amani na awe pamoja nanyi nyote. Amen.
6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma,bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata?
28Upendo na uaminifu humweka mfalme salama;kiti chake cha ufalme huwa salama kwa upendo.
29Utukufu wa vijana ni nguvu zao,mvi ni fahari ya uzee.