Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "amor"

25 resultados encontrados

  1. 1 Coríntios 13

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 7–13 de 13

    7Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.

    8Upendo haushindwi kamwe. Lakini ukiwepo unabii, utakoma; zikiwepo lugha, zitakoma; yakiwepo maarifa, yatapita.

    13Basi sasa, yanadumu mambo haya matatu: Imani, tumaini na upendo. Lakini lililo kuu miongoni mwa haya matatu ni upendo.

  2. Romanos 13

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 8–10 de 14

    8Msidaiwe kitu na mtu yeyote, isipokuwa kupendana, kwa maana yeye ampendaye mwenzake, ameitimiza sheria.

    10Upendo haumfanyii jirani jambo baya. Kwa hiyo upendo ndio utimilifu wa sheria.

  3. 1 Coríntios 16

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 16
    Mostrando versículos 14–24 de 24

    14Fanyeni kila kitu katika upendo.

    20Ndugu wote walio hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.

    24Upendo wangu uwe nanyi nyote katika Al-Masihi Isa. Amen.

  4. 1 João 4

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 4
    Mostrando versículos 7–16 de 21

    7Wapendwa, tupendane, kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu. Kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.

    11Wapendwa, kama Mungu alivyotupenda sisi, imetupasa na sisi kupendana.

    16Hivyo nasi twajua na kulitumainia pendo la Mungu alilo nalo kwa ajili yetu.Mungu ni Upendo. Kila akaaye katika upendo hukaa ndani ya Mungu na Mungu hukaa ndani yake.

  5. Efésios 6

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 6
    Mostrando versículos 7–24 de 24

    7Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mngemtumikia, wala si wanadamu,

    20ambayo mimi ni balozi wake katika vifungo. Ombeni ili nipate kuhubiri kwa ujasiri kama inipasavyo.

    24Neema iwe na wote wanaompenda Bwana wetu Isa Al-Masihi kwa upendo wa dhati. Amen.

  6. Provérbios 27

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 27
    Mostrando versículos 5–17 de 27

    5Afadhali karipio la wazikuliko upendo uliofichika.

    14Mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuuasubuhi na mapema,itahesabiwa kuwa ni laana.

    17Kama vile chuma kinoavyo chuma,ndivyo mtu amnoavyo mwenzake.

  7. Romanos 12

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículos 9–16 de 21

    9Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.

    10Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.

    16Kaeni kwa amani ninyi kwa ninyi. Msijivune, bali mwe tayari kushirikiana na wanyonge. Wala msiwe watu wenye kujivuna kwamba mnajua kila kitu.

  8. Provérbios 19

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 19
    Mostrando versículos 4–22 de 29

    4Mali huleta rafiki wengi,bali rafiki wa mtu maskini humwacha.

    8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe,yeye ahifadhiye ufahamu hustawi.

    22Lile mtu alionealo shauku ni upendo usio na mwisho,afadhali kuwa maskini kuliko kuwa mwongo.

  9. 1 Pedro 4

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 4
    Mostrando versículos 8–12 de 19

    8Zaidi ya yote, dumuni katika upendo kwa maana upendo husitiri wingi wa dhambi.

    9Kuweni wakarimu kila mtu na mwenzake pasipo manung’uniko.

    12Wapendwa, msione ajabu kwa yale mateso yanayotukia miongoni mwenu, kana kwamba ni kitu kigeni kinachowapata.

  10. Salmos 85

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 85
    Mostrando versículos 1–10 de 13

    1Ee Mwenyezi Mungu, ulionesha wema kwa nchi yako.Ulimrejeshea Yakobo baraka zake.85:1 au Uliwarudisha mateka wa Yakobo.

    7Utuoneshe upendo wako usiokoma, Ee Mwenyezi Mungu,utupe wokovu wako.

    10Upendo na uaminifu hukutana pamoja,haki na amani hubusiana.

  11. Cânticos 1

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículos 1–16 de 17

    1Wimbo ulio bora wa Sulemani.Mpendwa1:2 Kulingana na matumizi ya lugha ya Kiebrania, mnenaji wa kiume na wa kike wametofautishwa kwa kichwa cha Mpenzi na Mpendwa. Wanenaji wengine wamepewa kichwa cha Rafiki. Wakati mwingine haijulikani kwa hakika nani ananena, lakini mapokeo yamefuatwa kutambulisha wanenaji.

    15Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpendwa wangu!Tazama jinsi ulivyo mzuri!Macho yako ni kama ya hua.Mpendwa

    16Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!Ee, tazama jinsi unavyopendeza!Na kitanda chetu ni cha majani mazuri.Mpenzi

  12. 1 João 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 3–21 de 21

    3Huku ndiko kumpenda Mungu, yaani kuzitii amri zake. Nazo amri zake si nzito.

    4Kwa maana kila aliyezaliwa na Mungu huushinda ulimwengu. Huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, yaani hiyo imani yetu.

    21Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.

  13. Hebreus 13

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 1–25 de 25

    1Endeleeni kupendana kama ndugu.

    18Tuombeeni. Tuna hakika kuwa tunayo dhamiri safi na shauku ya kuishi kwa uadilifu kwa kila njia.

    25Neema iwe nanyi nyote. Amen.

  14. 1 Tessalonicenses 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 13–28 de 28

    13Waheshimuni sana katika upendo kwa ajili ya kazi zao. Ishini kwa amani ninyi kwa ninyi.

    23Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Isa Al-Masihi.

    28Neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi iwe nanyi. Amen.

  15. 1 Timóteo 6

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 6
    Mostrando versículos 10–21 de 21

    10Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.

    11Lakini wewe, mtu wa Mungu, yakimbie mambo haya yote. Fuata haki, utauwa, imani, upendo, saburi na upole.

    21ambayo wengine kwa kujidai kuwa nayo wameiacha imani.Neema iwe nanyi. Amen.

  16. 2 Pedro 1

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículos 2–7 de 21

    2Neema na amani ziwe kwenu kwa wingi katika kumjua Mungu na Isa Bwana wetu.

    6katika maarifa, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa;

    7katika utauwa, upendano wa kindugu; na katika upendano wa kindugu, upendo.

  17. João 15

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 15
    Mostrando versículos 12–17 de 27

    12Amri yangu ndiyo hii: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi.

    13Hakuna mtu mwenye upendo mkuu kuliko huu, mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.

    17Amri yangu ndiyo hii: Mpendane.

  18. 1 Crônicas 1

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículo 14 de 54

    14Wayebusi, Waamori, Wagirgashi,

  19. Cânticos 8

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículos 6–9 de 14

    6Nitie kama muhuri moyoni mwako,kama muhuri kwenye mkono wako;kwa maana upendo una nguvu kama mauti,wivu wake ni mkatili kama Kuzimu8:6 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, yaani Shimo lisilo na mwisho..Unachoma kama mwali wa moto,kama mwali mkubwa wa moto wa Mwenyezi Mungu hasa.

    7Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo,mito haiwezi kuugharikisha.Kama mtu angetoa mali yote ya nyumbani mwakekwa ajili ya upendo,angedharauliwa kabisa.Rafiki

    9Kama yeye ni ukuta,tutajenga minara ya fedha juu yake.Na kama yeye ni mlango,tutamzungushia mbao za mwerezi.Mpendwa

  20. Marcos 12

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículos 6–31 de 44

    6"Mwenye shamba alikuwa bado na mmoja wa kumtuma, mwanawe aliyempenda. Hatimaye akamtuma akisema, ‘Watamheshimu mwanangu.’

    30Mpende Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.’

    31Ya pili ndiyo hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi."

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo