25Katika Hema la Kukutania, Wagershoni walikuwa na wajibu wa kutunza Maskani na hema, vifuniko vyake, pazia katika mlango wa kuingilia ndani ya Hema la Kukutania,
Resultados da busca por "paz"
46 resultados encontrados
- Capítulo 3
Números 3
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 25 de 51 - Capítulo 10
Hebreus 10
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 20 de 3920kwa njia mpya iliyo hai tuliyofunguliwa kwa ajili yetu kupitia kwenye lile pazia, yaani mwili wake,
- Capítulo 3
Lamentações 3
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 65 de 6665Weka pazia juu ya mioyo yao,laana yako na iwe juu yao!
- Capítulo 16
2 Reis 16
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 18 de 2018Kwa heshima ya mfalme wa Ashuru, akaliondoa pia pazia la Sabato lililokuwa limewekwa ndani ya Hekalu, na akaondoa ile njia ya kifalme ya kuingia kwenye Hekalu la Mwenyezi Mungu.
- Capítulo 15
Marcos 15
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 34 de 4734Hapo saa tisa, Isa akapaza sauti, akalia, "Eloi, Eloi, lama sabakthani?" (maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?")
- Capítulo 4
Números 4
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 5 de 495Kambi inapohamishwa, Haruni na wanawe wataingia ndani na kushusha lile pazia la kuzuilia na kufunika nalo Sanduku la Ushuhuda.
- Capítulo 23
Lucas 23
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 45 de 5645kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
- Capítulo 27
Mateus 27
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 46 de 6646Ilipofika saa tisa, Isa akapaza sauti akalia, "Eloi, Eloi, lama sabakthani?" (maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?")
- Capítulo 54
Isaías 54
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 1 de 171"Imba, ewe mwanamke tasa,wewe ambaye kamwe hukuzaa mtoto;paza sauti kwa kuimba, piga kelele kwa furaha,wewe ambaye kamwe hukupata uchungu;kwa sababu watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengikuliko wa mwanamke mwenye mume,"asema Mwenyezi Mungu.
- Capítulo 40
Êxodo 40
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 3 de 383Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake.
- Capítulo 16
Levítico 16
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 2 de 342Mwenyezi Mungu akamwambia Musa: "Mwambie ndugu yako Haruni asije wakati wowote anaotaka ndani ya Patakatifu pa Patakatifu, nyuma ya pazia pale mbele ya kiti cha rehema kile kilicho juu ya Sanduku la Agano, la sivyo atakufa, kwa sababu huwa ninatokea ndani ya wingu juu ya kile kiti cha rehema.
- Capítulo 9
Hebreus 9
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 3 de 283Nyuma ya pazia la pili, palikuwa na sehemu iliyoitwa Patakatifu pa Patakatifu,
- Capítulo 18
Números 18
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 7 de 327Lakini ni wewe tu na wanao mtakaoweza kutumika kama makuhani kuhusiana na kila kitu kwenye madhabahu na ndani ya pazia. Ninawapa utumishi wa ukuhani kama zawadi. Mtu mwingine yeyote atakayekaribia mahali patakatifu ni lazima auawe."
- Capítulo 23
2 Reis 23
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 7 de 377Akabomoa pia nyumba za mahanithi wa mahali pa ibada, zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mwenyezi Mungu, nyumba ambazo wanawake walifumia pazia kwa ajili ya Ashera.
- Capítulo 58
Isaías 58
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 1 de 141"Piga kelele, usizuie.Paza sauti yako kama tarumbeta.Watangazieni watu wangu uasi wao,na kwa nyumba ya Yakobo dhambi zao.
- Capítulo 36
Êxodo 36
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 8 de 388Watu wote wenye ustadi miongoni mwa wafanyakazi wote wakatengeneza maskani ya Mungu kwa mapazia kumi ya kitani iliyosokotwa vizuri, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, naye fundi stadi akatirizi makerubi kwenye mapazia hayo.
- Capítulo 4
Levítico 4
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 6 de 356Atachovya kidole chake katika hiyo damu, na kuinyunyiza sehemu yake mara saba mbele za Mwenyezi Mungu, mbele ya pazia la mahali patakatifu.
- Capítulo 40
Isaías 40
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 9 de 319Wewe uletaye habari njema Sayuni,panda juu ya mlima mrefu.Wewe uletaye habari njema Yerusalemu,paza sauti yako, piga kelele kwa nguvu,paza sauti, usiogope;iambie miji ya Yuda,"Yuko hapa Mungu wenu!"
- Capítulo 27
Êxodo 27
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 9 de 219"Tengeneza ua kwa ajili ya Hema la Kukutania. Upande wa kusini utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja27:9 Dhiraa 100 ni sawa na mita 45., na utakuwa na mapazia ya kitani iliyosokotwa vizuri,
- Capítulo 32
Isaías 32
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 14 de 2014Ngome itaachwa,mji wenye kelele nyingi utahamwa,ngome ndani ya mji na mnara wa ulinzi vitakuwa ukiwa milele,mahali pazuri pa punda-mwitu na malisho ya makundi ya kondoo,