6Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake.
11Uweza una yeye milele na milele. Amen.
14Salimianeni kwa busu la upendo.Amani iwe nanyi nyote mlio katika Al-Masihi.
46 resultados encontrados
6Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake.
11Uweza una yeye milele na milele. Amen.
14Salimianeni kwa busu la upendo.Amani iwe nanyi nyote mlio katika Al-Masihi.
6Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni,kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu."
11Mwenyezi Mungu akamwambia Musa,
16Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu ameamuru: ‘Kila mmoja akusanye kiasi anachohitaji. Chukueni pishi16:16 yaani omeri moja, sawa na kilo mbili moja kwa kila mtu mliye naye katika hema lenu.’ "
36(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa16:36 Efa moja ni sawa na kilo 22..)
1Heri wale wote wamchao Mwenyezi Mungu,wanaoenda katika njia zake.
4Hivyo ndivyo atakavyobarikiwamtu amchaye Mwenyezi Mungu.
6nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako.Amani iwe juu ya Israeli.
10Tena yasema,"Enyi watu wa Mataifa, furahinipamoja na watu wa Mungu."
16niwe mhudumu wa Al-Masihi Isa kwa watu wa Mataifa. Alinipa huduma ya kikuhani ya kutangaza Injili ya Mungu, ili watu wa Mataifa wapate kuwa dhabihu inayokubalika na Mungu, kwa kutakaswa na Roho wa Mungu.
33Mungu wa amani na awe pamoja nanyi nyote. Amen.
6Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri,hakika nimepata urithi mzuri.
8"Pigeni tarumbeta huko Gibea,na baragumu huko Rama.Pazeni kelele za vita huko Beth-Aveni5:8 maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu); yaani Betheli kwa dhihaka;ongoza, ee Benyamini.
8Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao,pamoja wanapaza sauti zao kwa furaha.Mwenyezi Mungu atakaporejea Sayuni,wataliona kwa macho yao wenyewe.
1"Tengeneza maskani ya Mungu kwa mapazia kumi ya kitani iliyosokotwa vizuri na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, naye fundi stadi atatarizi makerubi kwenye mapazia hayo.
13Nimemwona Efraimu, kama Tiro,aliyeoteshwa mahali pazuri.Lakini Efraimu wataletawatoto wao kwa mchinjaji."
14Imba, ee Binti Sayuni;paza sauti, ee Israeli!Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote,ee Binti Yerusalemu!
3Mkimpa heshima yule aliyevaa mavazi mazuri na kumwambia, "Keti hapa mahali pazuri," lakini yule maskini mkamwambia, "Wewe simama pale," au "Keti hapa sakafuni karibu na miguu yangu,"
27Kwa maana imeandikwa:"Furahi, ewe mwanamke tasa,wewe usiyezaa;paza sauti, na kuimba kwa furaha,wewe usiyepatwa na uchungu wa kuzaa;kwa maana watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengikuliko wa mwanamke mwenye mume."
12Al-Yasa aliliona hili, naye akapaza sauti, "Baba yangu! Baba yangu! Magari ya vita ya Israeli na wapanda farasi wake!" Naye Al-Yasa hakumwona tena. Kisha akaishika nguo yake na kuirarua vipande viwili.
15Aonapo palivyo pazuri mahali pake pa kupumzikana jinsi nchi yake inavyopendeza,atainamisha bega lake kwenye mzigona kujitolea kwa ajili ya kazi ngumu.
14Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisiatembeapo juu ya anga la dunia.
19Tunalo tumaini hili kama nanga ya roho iliyo imara na thabiti. Tumaini hili huingia katika mahali patakatifu nyuma ya pazia,
3Nje ya pazia la Sanduku la Ushuhuda ndani ya Hema la Kukutania, Haruni ataziwasha taa mbele za Mwenyezi Mungu kuanzia jioni hadi asubuhi daima. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo.
14Akatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na za kitani safi, na kutarizi makerubi juu yake.
23Lakini kwa sababu ya kilema chake, kamwe asikaribie pazia wala kukaribia madhabahu, asije akanajisi mahali patakatifu pangu. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, niwafanyaye watakatifu.’ "