5Ibihari, Elishua, Elpeleti,
6Noga, Nefegi, Yafia,
7Elishama, Beeliada na Elifeleti.
30 resultados encontrados
5Ibihari, Elishua, Elpeleti,
6Noga, Nefegi, Yafia,
7Elishama, Beeliada na Elifeleti.
19vipuli, vikuku, shela,
22majoho mazuri, mitandio, mavazi, kifuko cha kutilia fedha,
23vioo, mavazi ya kitani, taji na shali.
11Kwa kuwa vitu vyote vitaharibiwa namna hii, je, ninyi imewapasa kuwa watu wa namna gani? Inawapasa kuishi maisha matakatifu na ya kumcha Mungu,
12mkingojea na kuhimiza kuja kwa hiyo siku ya Mungu. Siku hiyo italeta mbingu kuchomwa moto na kutoweka, na vitu vya asili vitayeyuka kwa moto.
18Bali kueni katika neema na katika kumjua Bwana na Mwokozi wetu Isa Al-Masihi.Utukufu una yeye sasa na milele! Amen.
2Kwa Injili hii mnaokolewa mkishikilia kwa uthabiti neno nililowahubiria ninyi. La sivyo, mmeamini katika ubatili.
26Adui wa mwisho atakayeangamizwa ni mauti.
36Ninyi wapumbavu kiasi gani? Mpandacho hakiwi hai kama hakikufa.
4Abishua, Naamani, Ahoa,
5Gera, Shefufani na Huramu.
25Ifdeya na Penueli.
12"Mchukue umtunze. Usimdhuru, lakini umfanyie chochote anachotaka."
15Yeremia alipokuwa amezuiliwa katika ua wa walinzi, neno la Mwenyezi Mungu lilimjia kusema:
18Nitakuokoa; hutaanguka kwa upanga, maisha yako yatakuwa salama, kwa sababu unanitumaini, asema Mwenyezi Mungu.’ "
26Amamu, Shema, Molada,
29Baala, Iyimu, Esemu,
49Dana, Kiriath-Sana (yaani Debiri),
1Mwenyezi Mungu ndiye mchungaji wangu,sitapungukiwa na kitu.
2Hunilaza katika malishoya majani mabichi,kando ya maji matulivu huniongoza,
3hunihuisha nafsi yangu.Huniongoza katika njia za hakikwa ajili ya jina lake.
1Ee Mwenyezi Mungu, tazama adui zangu walivyo wengi!Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu!
7Ee Mwenyezi Mungu, amka!Niokoe, Ee Mungu wangu!Wapige adui zangu wote kwenye taya,vunja meno ya waovu.
8Kwa maana wokovu watoka kwa Mwenyezi Mungu.Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
3Mtumaini Mwenyezi Mungu na utende yaliyo mema.Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama.
34Mngojee Mwenyezi Mungu,na uishike njia yake.Naye atakutukuza uirithi nchi,waovu watakapokatiliwa mbali,utaliona hilo.
39Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Mwenyezi Mungu,yeye ni ngome yao wakati wa shida.