Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "fé"

116 resultados encontrados

  1. Zacarias 13

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículo 3 de 9

    3Ikiwa yupo yeyote atakayeendelea kutabiri, baba yake na mama yake waliomzaa watamwambia, ‘Ni lazima ufe, kwa sababu umesema uongo kwa jina la Mwenyezi Mungu.’ Atakapotabiri, wazazi wake mwenyewe watampasua tumbo.

  2. João 2

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 14 de 25

    14Huko uani la Hekalu aliwakuta watu wakiuza ng’ombe, kondoo na njiwa, nao wengine walikuwa wameketi mezani wakibadili fedha.

  3. Êxodo 38

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 38
    Mostrando versículo 10 de 31

    10pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.

  4. Gênesis 17

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 17
    Mostrando versículo 12 de 27

    12Kwa vizazi vijavyo, kila mwanaume miongoni mwenu mwenye siku nane ni lazima atahiriwe, pamoja na watakaozaliwa nyumbani mwako au walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni, wale ambao sio wa uzao wako.

  5. Oséias 8

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 4 de 14

    4Wanaweka wafalme bila idhini yangu,wamechagua wakuu bila kibali changu.Kwa fedha zao na dhahabuwamejitengenezea sanamu kwa ajiliya maangamizi yao wenyewe.

  6. Jó 28

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 28
    Mostrando versículo 1 de 28

    1Kuna machimbo ya fedha,na mahali dhahabu inaposafishwa.

  7. Lucas 19

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 19
    Mostrando versículo 10 de 48

    10Kwa maana Mwana wa Adamu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea."

  8. Miquéias 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 7 de 12

    7Waonaji wataaibikana waaguzi watafedheheka.Wote watafunika nyuso zaokwa sababu hakuna jibu litokalo kwa Mungu."

  9. Atos 26

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 26
    Mostrando versículo 24 de 32

    24Paulo alipokuwa akifanya utetezi huu, Festo akasema kwa sauti kubwa, "Paulo, wewe umerukwa na akili! Kusoma kwingi kunakufanya uwe kichaa!"

  10. Malaquias 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 2 de 18

    2Lakini ni nani atakayeweza kustahimili hiyo siku ya kuja kwake? Ni nani awezaye kusimama atakapotokea? Kwa kuwa atakuwa kama moto wa mfua fedha au kama sabuni ya mfua nguo.

  11. 1 Pedro 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 2 de 14

    2lichungeni kundi la Mungu mlilokabidhiwa, mkitumika kama waangalizi, si kwa kulazimishwa bali kwa hiari, kama Mungu anavyowataka mwe; si kwa tamaa ya fedha, bali mlio na bidii katika kutumika.

  12. 1 Coríntios 16

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 16
    Mostrando versículo 2 de 24

    2Siku ya kwanza ya kila juma, kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha, kulingana na mapato yake, na fedha hizo aziweke akiba, ili nitakapokuja pasiwe na lazima ya kufanya mchango.

  13. Neemias 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 4 de 19

    4Bado kukawa na wengine waliokuwa wakisema, "Ilitubidi tukope fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa ajili ya mashamba yetu na mashamba yetu ya mizabibu.

  14. Isaías 50

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 50
    Mostrando versículo 6 de 11

    6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao,mashavu yangu wale wang’oao ndevu zangu;sikuuficha uso wangu kutokana na fedhehana kutemewa mate.

  15. Naum 2

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 9 de 13

    9Chukueni nyara za fedha!Chukueni nyara za dhahabu!Wingi wake hauna mwisho,utajiri kutoka hazina zake zote!

  16. Salmos 71

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 71
    Mostrando versículo 13 de 24

    13Washtaki wangu na waangamie kwa aibu,wale wanaotaka kunidhuruna wafunikwe kwa dharau na fedheha.

  17. Eclesiastes 12

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículo 6 de 14

    6Mkumbuke Muumba wako: kabla haijakatika kamba ya fedha,au bakuli la dhahabu halijavunjika;kabla mtungi kuvunjika kwenye chemchemi,au gurudumu kuvunjika kisimani,

  18. Deuteronômio 14

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 14
    Mostrando versículo 25 de 29

    25basi badilisheni zaka yenu kuwa fedha, mkaichukue hiyo fedha mwende nayo mahali Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atakapopachagua.

  19. 2 Samuel 8

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 10 de 18

    10akamtuma mwanawe Yoramu kwa Mfalme Daudi kumsalimu na kumpongeza kwa ushindi wake katika vita dhidi ya Hadadezeri, kwa kuwa Hadadezeri alikuwa amepigana vita na Tou. Yoramu akamletea Daudi vyombo vya fedha, dhahabu na shaba.

  20. 2 Reis 7

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículo 1 de 20

    1Al-Yasa akasema, "Sikiliza neno la Mwenyezi Mungu. Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: Wakati kama huu kesho, kipimo kimoja7:1 Kipimo kimoja cha unga ni sawa na kilo 3. cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli moja ya fedha7:1 Shekeli moja ni sawa na gramu 11., na vibaba viwili vya shayiri kwa shekeli moja ya fedha katika lango la Samaria."

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo