10Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.
Resultados da busca por "fé"
134 resultados encontrados
- Capítulo 6
1 Timóteo 6
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 10 de 21 - Capítulo 5
Eclesiastes 5
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 10 de 2010Yeyote apendaye fedha kamwehatosheki na fedha;yeyote apendaye utajiri kamwehatosheki na kipato chake.Hili nalo pia ni ubatili.
- Capítulo 6
Efésios 6
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 7–24 de 247Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mngemtumikia, wala si wanadamu,
20ambayo mimi ni balozi wake katika vifungo. Ombeni ili nipate kuhubiri kwa ujasiri kama inipasavyo.
24Neema iwe na wote wanaompenda Bwana wetu Isa Al-Masihi kwa upendo wa dhati. Amen.
- Capítulo 16
1 Coríntios 16
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 2 de 242Siku ya kwanza ya kila juma, kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha, kulingana na mapato yake, na fedha hizo aziweke akiba, ili nitakapokuja pasiwe na lazima ya kufanya mchango.
- Capítulo 16
Êxodo 16
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 11–36 de 3611Mwenyezi Mungu akamwambia Musa,
16Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu ameamuru: ‘Kila mmoja akusanye kiasi anachohitaji. Chukueni pishi16:16 yaani omeri moja, sawa na kilo mbili moja kwa kila mtu mliye naye katika hema lenu.’ "
36(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa16:36 Efa moja ni sawa na kilo 22..)
- Capítulo 19
Levítico 19
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 11–36 de 3711" ‘Usiibe." ‘Usiseme uongo." ‘Msidanganyane.
28" ‘Msichanje chale miili yenu kwa ajili ya mfu, wala msijichore alama juu ya miili yenu. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.
36Tumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa19:36 Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu. halali, na hini19:36 Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika. halali. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.
- Capítulo 4
Filipenses 4
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 5–23 de 235Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana Isa yu karibu.
20Mungu wetu aliye Baba4:20 Kwa mwanadamu, Mwenyezi Mungu ni Baba kupitia uhusiano unaopatikana katika kumtumaini Isa Al-Masihi. yetu apewe utukufu milele na milele. Amen.
23Neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi iwe pamoja na roho zenu. Amen.
- Capítulo 5
1 Tessalonicenses 5
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 16–28 de 2816Furahini siku zote;
17ombeni bila kukoma;
28Neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi iwe nanyi. Amen.
- Capítulo 16
Romanos 16
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 1–27 de 271Napenda kumtambulisha kwenu dada yetu Foibe, mhudumu katika kundi la waumini la Kenkrea.
20Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi.Neema ya Bwana wetu Isa iwe nanyi. Amen.
27ndiye Mungu, aliye pekee mwenye hekima, ambaye kupitia kwa Isa Al-Masihi utukufu ni wake milele na milele! Amen.
- Capítulo 45
Ezequiel 45
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 10–13 de 2510Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa45:10 Efa ni kipimo cha ujazo cha kupimia vitu vikavu ambacho ni sawa na omeri 10; efa 1 ni sawa na kilo 22. na bathi45:10 Bathi ni kipimo cha ujazo cha kupimia vitu vya humiminika ambacho ni sawa na 1/10 ya homeri; homeri 1 ni bathi 10 au efa 10..
11Efa na bathi viwe sawa, bathi iwe sehemu ya kumi ya homeri na efa iwe sehemu ya kumi ya homeri, homeri itakuwa ndicho kiwango cha kukubalika kwa vyote viwili.
13" ‘Hili ndilo toleo maalum mtakalotoa: sehemu ya sita ya efa kutoka kila homeri ya ngano, na sehemu ya sita ya efa kutoka kila homeri ya shayiri.
- Capítulo 3
Efésios 3
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 13 de 2113Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu.
- Capítulo 4
2 Timóteo 4
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 12 de 2212Nimemtuma Tikiko huko Efeso.
- Capítulo 16
1 Crônicas 16
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 28–30 de 4328Mpeni Mwenyezi Mungu, enyi jamaa za mataifa,mpeni Mwenyezi Mungu utukufu na nguvu,
29mpeni Mwenyezi Mungu utukufu unaostahili jina lake.Leteni sadaka na mje katika nyua zake.Mwabuduni Mwenyezi Mungu katika uzuri wa utakatifu wake.
30Dunia yote na itetemeke mbele zake!Ulimwengu ameuweka imara; hauwezi kusogezwa.
- Capítulo 6
Gálatas 6
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 7–18 de 187Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna.
11Angalieni herufi kubwa ninazotumia nikiwaandikia kwa mkono wangu mwenyewe!
18Ndugu zangu, neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi iwe pamoja na roho zenu. Amen.
- Capítulo 5
1 João 5
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 5–21 de 215Ni nani yule aushindaye ulimwengu? Ni yule tu aaminiye kwamba Isa ni Mwana wa Mungu5:5 Yaani Mwana wa asili moja na Mwenyezi Mungu (Yohana 1:1-2), wa kiroho, bali si wa kimwili..
7Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni: hao ni Baba, Neno na Roho wa Mungu. Hawa watatu ni umoja.
21Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.
- Capítulo 12
Marcos 12
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 41 de 4441Kisha Isa akaketi mkabala na sehemu ambapo sadaka zilikuwa zinawekwa na kuangalia umati wa watu wakiweka fedha zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu. Matajiri wengi wakaweka kiasi kikubwa cha fedha.
- Capítulo 12
Josué 12
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 8 de 248Nchi hizi ni: nchi ya vilima, Shefela12:8 au upande wa magharibi chini ya vilima, Araba, miteremko ya milima, jangwa, na Negebu; yaani nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.Wafalme hawa walikuwa:
- Capítulo 1
Filemom 1
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 2–25 de 252kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kundi la waumini wanaokutana nyumbani mwako.
9lakini ninakuomba kwa upendo. Mimi Paulo, mzee na pia sasa nikiwa mfungwa wa Al-Masihi Isa,
25Neema ya Bwana Isa Al-Masihi iwe pamoja na roho zenu. Amen.
- Capítulo 13
Hebreus 13
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículo 5 de 255Yalindeni maisha yenu msiwe na tabia ya kupenda fedha, bali mridhike na vile mlivyo navyo, kwa sababu Mungu amesema,"Kamwe sitakuacha,wala sitakupungukia."
- Capítulo 15
Romanos 15
Toleo Wazi Neno: Maandiko MatakatifuMostrando versículos 2–33 de 332Kila mmoja wetu inampasa kumpendeza jirani yake kwa mambo mema, ili kumjenga katika imani.
13Mungu wa tumaini awajaze ninyi furaha yote na amani katika kumwamini, ili mpate kujawa na tumaini tele kwa nguvu ya Roho Mtakatifu wa Mungu.
33Mungu wa amani na awe pamoja nanyi nyote. Amen.