Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "fé"

134 resultados encontrados

  1. Jó 28

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 28
    Mostrando versículo 1 de 28

    1Kuna machimbo ya fedha,na mahali dhahabu inaposafishwa.

  2. Lucas 19

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 19
    Mostrando versículo 10 de 48

    10Kwa maana Mwana wa Adamu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea."

  3. Miquéias 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 7 de 12

    7Waonaji wataaibikana waaguzi watafedheheka.Wote watafunika nyuso zaokwa sababu hakuna jibu litokalo kwa Mungu."

  4. Atos 26

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 26
    Mostrando versículo 24 de 32

    24Paulo alipokuwa akifanya utetezi huu, Festo akasema kwa sauti kubwa, "Paulo, wewe umerukwa na akili! Kusoma kwingi kunakufanya uwe kichaa!"

  5. Malaquias 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 2 de 18

    2Lakini ni nani atakayeweza kustahimili hiyo siku ya kuja kwake? Ni nani awezaye kusimama atakapotokea? Kwa kuwa atakuwa kama moto wa mfua fedha au kama sabuni ya mfua nguo.

  6. 1 Pedro 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 2 de 14

    2lichungeni kundi la Mungu mlilokabidhiwa, mkitumika kama waangalizi, si kwa kulazimishwa bali kwa hiari, kama Mungu anavyowataka mwe; si kwa tamaa ya fedha, bali mlio na bidii katika kutumika.

  7. Neemias 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 4 de 19

    4Bado kukawa na wengine waliokuwa wakisema, "Ilitubidi tukope fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa ajili ya mashamba yetu na mashamba yetu ya mizabibu.

  8. Isaías 50

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 50
    Mostrando versículo 6 de 11

    6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao,mashavu yangu wale wang’oao ndevu zangu;sikuuficha uso wangu kutokana na fedhehana kutemewa mate.

  9. Naum 2

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 9 de 13

    9Chukueni nyara za fedha!Chukueni nyara za dhahabu!Wingi wake hauna mwisho,utajiri kutoka hazina zake zote!

  10. Provérbios 19

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 19
    Mostrando versículo 26 de 29

    26Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yakeni mwana aletaye aibu na fedheha.

  11. Eclesiastes 12

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículo 6 de 14

    6Mkumbuke Muumba wako: kabla haijakatika kamba ya fedha,au bakuli la dhahabu halijavunjika;kabla mtungi kuvunjika kwenye chemchemi,au gurudumu kuvunjika kisimani,

  12. 2 Samuel 8

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 10 de 18

    10akamtuma mwanawe Yoramu kwa Mfalme Daudi kumsalimu na kumpongeza kwa ushindi wake katika vita dhidi ya Hadadezeri, kwa kuwa Hadadezeri alikuwa amepigana vita na Tou. Yoramu akamletea Daudi vyombo vya fedha, dhahabu na shaba.

  13. 2 Reis 7

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículo 1 de 20

    1Al-Yasa akasema, "Sikiliza neno la Mwenyezi Mungu. Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: Wakati kama huu kesho, kipimo kimoja7:1 Kipimo kimoja cha unga ni sawa na kilo 3. cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli moja ya fedha7:1 Shekeli moja ni sawa na gramu 11., na vibaba viwili vya shayiri kwa shekeli moja ya fedha katika lango la Samaria."

  14. 2 Crônicas 16

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 16
    Mostrando versículo 2 de 14

    2Ndipo Asa akachukua fedha na dhahabu kutoka hazina ya Hekalu la Mwenyezi Mungu na kutoka jumba lake la kifalme na kumpelekea Ben-Hadadi mfalme wa Aramu, aliyekuwa anatawala huko Dameski.

  15. 1 Reis 10

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 10
    Mostrando versículo 21 de 29

    21Vyombo vyote vya Mfalme Sulemani vya kunywea vilikuwa vya dhahabu na vyombo vyote vya nyumbani katika Jumba la Kifalme la Msitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu safi. Hakukuwa na kitu kilichotengenezwa kwa fedha, kwa sababu fedha ilionekana ya thamani ndogo siku za Sulemani.

  16. Sofonias 1

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículo 11 de 18

    11Ombolezeni, ninyi mnaoishi katika eneo la sokoni;wafanyabiashara wenu wote wameangamizwa,wote ambao wanafanya biashara ya fedhawataangamizwa.

  17. 1 Timóteo 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 3 de 16

    3asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha.

  18. Esdras 7

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículo 15 de 28

    15Zaidi ya hayo, uchukue fedha na dhahabu ambazo mfalme na washauri wake wamempa Mungu wa Israeli kwa hiari, Mungu ambaye maskani yake yako Yerusalemu,

  19. Amós 8

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 6 de 14

    6mkiwanunua maskini kwa fedha,na wahitaji kwa jozi ya viatu,na mkiuza hata takataka za nganopamoja na ngano.

  20. Ezequiel 7

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 7
    Mostrando versículo 19 de 27

    19" ‘Watatupa fedha yao barabarani,nayo dhahabu yao itakuwa najisi.Fedha yao na dhahabu yaohavitaweza kuwaokoakatika siku hiyo ya ghadhabu ya Mwenyezi Mungu.Hawatashibisha njaa yaoau kujaza tumbo zao kwa hiyo fedha wala dhahabu,kwa sababu imewaponza wajikwae dhambini.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo