Mostrando versículos 13–19 de 19
13Nitakiinua kikombe cha wokovuna kulitangaza jina la Mwenyezi Mungu.
15Kifo cha watakatifu kina thamanimachoni pa Mwenyezi Mungu.
19katika nyua za nyumba ya Mwenyezi Mungu,katikati yako, ee Yerusalemu.Msifuni Mwenyezi Mungu.116:19 kwa Kiebrania ni Hallelu Yah.