Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "fé"

116 resultados encontrados

  1. Cânticos 1

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículo 11 de 17

    11Tutakufanyia vipuli vya dhahabu,vyenye kupambwa kwa fedha.Mpendwa

  2. Eclesiastes 10

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 10
    Mostrando versículo 19 de 20

    19Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,nao mvinyo hufurahisha maisha,lakini fedha ni jawabu la mambo yote.

  3. 2 Crônicas 9

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 9
    Mostrando versículo 14 de 31

    14mbali na mapato yaliyoletwa na wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabuni na watawala wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.

  4. Oséias 13

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículo 2 de 16

    2Sasa wanatenda dhambi zaidi na zaidi;wanajitengenezea sanamukutokana na fedha yao,vinyago vilivyotengenezwa kwa uhodari,vyote kazi ya fundi stadi.Inasemekana kuhusu hawa watu,"Hutoa dhabihu za binadamuna kubusu sanamu za ndama."

  5. Esdras 8

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 13 de 36

    13wa wazao wa Adonikamu:hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume sitini;

  6. Jó 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 15 de 26

    15pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu,waliozijaza nyumba zao kwa fedha.

  7. Provérbios 2

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 2
    Mostrando versículo 4 de 22

    4na ukiitafuta kama fedhana kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa,

  8. 1 Crônicas 18

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 18
    Mostrando versículo 10 de 17

    10akamtuma mwanawe Hadoramu kwa Mfalme Daudi, ili kumsalimu na kumpongeza kwa ushindi wake katika vita dhidi ya Mfalme Hadadezeri, kwa maana alikuwa amepigana vita mara nyingi na Tou. Hadoramu akamletea Daudi vifaa mbalimbali vya dhahabu, fedha na shaba.

  9. Gênesis 44

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 44
    Mostrando versículo 1 de 34

    1Kisha Yusufu akampa yule msimamizi wa nyumbani mwake maagizo haya: "Jaza magunia ya watu hawa kiasi cha chakula ambacho wanaweza kuchukua, na uweke fedha ya kila mtu katika gunia lake.

  10. Isaías 44

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 44
    Mostrando versículo 11 de 28

    11Yeye pamoja na wenziwe wa aina yake wataaibishwa,mafundi wao si kitu ila ni wanadamu tu.Wote wakusanyike pamoja na kuwa na msimamo wao,watashushwa chini kwa hofu na kwa fedheha.

  11. Êxodo 22

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 22
    Mostrando versículo 7 de 31

    7"Mtu akimpa jirani yake fedha au mali nyingine amtunzie, vitu vile vikiibwa kutoka nyumba ya huyo jirani, kama mwizi akishikwa, lazima alipe mara mbili.

  12. Salmos 15

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 15
    Mostrando versículo 5 de 5

    5Yeye akopeshaye fedha yake bila riba,na hapokei rushwa dhidi ya mtu asiye na hatia.Mtu afanyaye hayakamwe hatatikisika.

  13. 2 Crônicas 1

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 1
    Mostrando versículo 15 de 17

    15Mfalme akafanya fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu chini ya vilima.

  14. 2 Reis 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 5 de 27

    5Mfalme wa Aramu5:5 yaani Shamu akamjibu, "Hakika, nenda. Nitatuma barua kwa mfalme wa Israeli." Kwa hiyo Naamani akaondoka, akiwa amechukua talanta kumi5:5 Talanta 10 za fedha ni sawa na kilo 340. za fedha, shekeli elfu sita za dhahabu5:5 Shekeli 6,000 za dhahabu ni sawa na kilo 70., na mavazi kumi.

  15. Provérbios 17

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 17
    Mostrando versículo 3 de 28

    3Kalibu husafisha fedha na tanuru husafisha dhahabu,bali Mwenyezi Mungu huujaribu moyo.

  16. Êxodo 27

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 27
    Mostrando versículo 10 de 21

    10pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.

  17. Isaías 55

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 55
    Mostrando versículo 1 de 13

    1"Haya! Njooni, ninyi nyote wenye kiu,njooni kwenye maji;nanyi ambao hamna fedha,njooni, nunueni na mle!Njooni, nunueni divai na maziwabila fedha na bila gharama.

  18. Salmos 12

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículo 6 de 8

    6Maneno ya Mwenyezi Mungu ni safi,kama fedha iliyosafishwa katika tanuru,iliyosafishwa mara saba.

  19. Gênesis 42

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 42
    Mostrando versículo 2 de 38

    2Akaendelea kuwaambia, "Nimesikia kuwa huko Misri kuna nafaka. Teremkeni huko mkatununulie chakula, ili tuweze kuishi wala tusife."

  20. 2 Crônicas 24

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 24
    Mostrando versículo 5 de 27

    5Akawaita pamoja makuhani na Walawi akawaambia, "Nendeni katika miji ya Yuda mkakusanye fedha wanazopaswa kulipa kila mwaka kutoka kwa Israeli wote, ili kukarabati Hekalu la Mungu wenu. Fanyeni hivyo sasa." Lakini Walawi hawakufanya upesi.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo