Mafundisho kuhusu wake na waume
22 Ninyi wake, watiini waume zenu kama vile mnavyomtii Bwana Isa. 23 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Al-Masihi alivyo kichwa cha jumuiya ya waumini, ambayo ni mwili wake, naye Al-Masihi ni Mwokozi wake.