Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 25:31,37,39

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

31 "Tengeneza kinara cha taa cha dhahabu safi iliyofuliwa vizuri katika kitako chake na ufito wake; vikombe vyake vinavyofanana na ua, matovu yake na maua yake viwe kitu kimoja.

37 "Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake. 39 Utatumia talanta moja25:39 Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34. ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    31 Kut 37:17;1 Fal 7:49;Zek 4:2;Ebr 9:2;Ufu 1:12;4:5Nawe fanya kinara cha taa cha dhahabu safi; hicho kinara na kifanywe cha kazi ya kufua, kitako chake, na mti wake, vikombe vyake, na matovu yake, na maua yake, vyote vitakuwa vya kitu kimoja nacho; 37 Ufu 1:12;Kut 27:21;30:8;Law 24:3,4;2 Nya 13:11;Hes 8:2Nawe zifanye taa zake saba; nao wataziwasha hizo taa zake, zitoe nuru mbele yake. 39 Kitafanywa cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo hivi vyote.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    31 "Tengeneza kinara cha taa cha dhahabu safi iliyofuliwa vizuri katika kitako chake na ufito wake; vikombe vyake vinavyofanana na ua, matovu yake na maua yake viwe kitu kimoja.

    37 "Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake. 39 Utatumia talanta moja25:39 Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34. ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.