Kinara cha taa
31 Kut 37:17;1 Fal 7:49;Zek 4:2;Ebr 9:2;Ufu 1:12;4:5Nawe fanya kinara cha taa cha dhahabu safi; hicho kinara na kifanywe cha kazi ya kufua, kitako chake, na mti wake, vikombe vyake, na matovu yake, na maua yake, vyote vitakuwa vya kitu kimoja nacho; 37 Ufu 1:12;Kut 27:21;30:8;Law 24:3,4;2 Nya 13:11;Hes 8:2Nawe zifanye taa zake saba; nao wataziwasha hizo taa zake, zitoe nuru mbele yake. 39 Kitafanywa cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo hivi vyote.