Pular para o conteúdo
Publicidade

Ezekieli 9

4 akamwambia, "Pita katika mji wote wa Yerusalemu ukaweke alama kwenye paji za nyuso za wale watu wanaohuzunika na kuomboleza kwa sababu ya machukizo yote yanayotendeka katika mji huu."

5 Nikiwa ninasikiliza, akawaambia wale wengine, "Mfuateni anapopita katika mji wote mkiua, pasipo huruma wala masikitiko. 6 Waueni wazee, vijana wa kiume na wa kike, wamama na watoto, lakini msimguse mtu yeyote mwenye alama. Anzieni katika mahali pangu patakatifu." Kwa hiyo wakaanza na wale wazee waliokuwa mbele ya Hekalu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também