Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 2

3 Divai ilipokwisha, mama yake Isa akamwambia, "Wameishiwa na divai."

4 Isa akamwambia, "Mama, kwa nini unanihusisha? Saa yangu haijawadia."

5 Mama yake akawaambia wale watumishi, "Fanyeni lolote atakalowaambia."

Veja também