Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 21

Isa amrejesha Petro

15 Walipokwisha kula, Isa akamuuliza Simoni Petro, "Je, Simoni mwana wa Yohana, unanipenda kweli kuliko hawa?"

Yeye akamjibu, "Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda."

Isa akamwambia, "Lisha wana-kondoo wangu."

19 Isa alisema haya ili kuashiria aina ya kifo ambacho Petro angemtukuza nacho Mungu. Kisha Isa akamwambia Petro, "Nifuate!"

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também