Publicidade

Jeremias 17

7 "Lakini amebarikiwa mtu anayemtumaini Mwenyezi Mungu,

ambaye matumaini yake ni katika Mwenyezi Mungu.

8 Atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji

uenezao mizizi yake karibu na kijito cha maji.

Hauogopi wakati wa joto ujapo;

majani yake ni mabichi daima.

Hauna hofu katika mwaka wa ukame

na hautaacha kuzaa matunda."

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-