24 "Je, mtu yeyote aweza kujificha
mahali pa siri nisiweze kumwona?"
Mwenyezi Mungu asema.
"Je, mimi sikuijaza mbingu na nchi?"
Mwenyezi Mungu asema.
24 "Je, mtu yeyote aweza kujificha
mahali pa siri nisiweze kumwona?"
Mwenyezi Mungu asema.
"Je, mimi sikuijaza mbingu na nchi?"
Mwenyezi Mungu asema.