14 Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni:
"Kwa sababu watu hawa wamesema maneno haya,
nitayafanya maneno yangu vinywani mwenu kuwa moto,
na watu hawa wawe kuni
zinazoliwa na huo moto.