Pular para o conteúdo
Publicidade

Yeremia 9

23 Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu:

"Mwenye hekima asijisifu katika hekima yake,

au mwenye nguvu ajisifu katika nguvu zake,

wala tajiri ajisifu katika utajiri wake,

24 lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kwa sababu hii:

kwamba ananifahamu na kunijua mimi,

kwamba mimi ndimi Mwenyezi Mungu, nitendaye wema,

hukumu na haki duniani,

kwa kuwa napendezwa na haya,"

asema Mwenyezi Mungu.

Veja também