Pular para o conteúdo
Publicidade

Waamuzi 6

13 Gideoni akajibu, "Nisamehe, Ee Bwana wangu. Kama Mwenyezi Mungu yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametutokea? Yako wapi yale matendo yake makuu ambayo baba zetu walitusimulia juu yake waliposema, Je, Mwenyezi Mungu hakutupandisha kutoka Misri?Lakini sasa Mwenyezi Mungu ametuacha na kututia katika mkono wa Midiani."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também