Pular para o conteúdo
Publicidade

Ayubu 2

9 Mke wake akamwambia, "Je, bado unashikamana na uadilifu wako? Mlaani Mungu nawe ukafe!"

10 Akamjibu, "Unazungumza kama mwanamke mpumbavu2:10 maana yake kupungukiwa maadili. Je, tupokee mema kutoka kwa Mungu, bali tusipokee mabaya?"

Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi katika kusema kwake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também