4 "Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia?
Niambie, kama unafahamu.
8 "Ni nani aliyeifungia bahari milango
ilipopasuka kutoka tumbo,
31 "Je, unaweza kuufunga mnyororo wa Kilimia?
Unaweza kulegeza kamba za Orioni?
41 Ni nani ampaye kunguru chakula
wakati makinda yake yanamlilia Mungu,
yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?