Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 1

19 Malaika akamjibu, akamwambia, "Mimi ni Jibraili, nisimamaye mbele za Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema.

Kuzaliwa kwa Isa kwatabiriwa

26 Mwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba, Mungu alimtuma malaika Jibraili aende Galilaya katika mji wa Nasiri,

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também