Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 11

2 Akawaambia, "Mnapoomba, semeni:

" Baba yetu [uliye mbinguni]11:2 Maandiko mengine ya kale hayana maneno haya.,

jina lako litukuzwe,

ufalme wako uje. [

Mapenzi yako yafanyike

hapa duniani kama huko mbinguni.]11:2 Maandiko mengine ya kale hayana maneno haya.

3 Utupatie kila siku riziki yetu.

4 Utusamehe dhambi zetu,

kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea.

Wala usitutie majaribuni

[bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu]11:4 Maandiko mengine ya kale hayana maneno haya..’ "

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também