Isa atabiri kuwa Petro atamkana
31 Isa akasema, "Simoni, Simoni, sikiliza, Shetani ameomba kuwapepeta ninyi wote kama ngano. 32 Lakini nimekuombea wewe Simoni ili imani yako isishindwe, nawe baada ya kunirudia, uwaimarishe ndugu zako."

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.