Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 23:34,43,46

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

34 Isa akasema, "Baba23:34 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu., wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!" Wakagawana nguo zake kwa kupiga kura.

43 Isa akamjibu, "Amin, nakuambia, leo utakuwa pamoja nami Paradiso.23:43 Paradiso maana yake bustani nzuri; hapa ni mahali zinapoenda roho za watakatifu."

Kifo cha Isa

(Mathayo 27:45-56; Marko 15:33-41; Yohana 19:28-30)

46 Isa akapaza sauti yake akasema, "Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu." Baada ya kusema haya, akakata roho.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    34 Zab 22:18;Mt 5:44;Isa 53:12Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo. Wakagawa mavazi yake, wakipiga kura.

    43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.

    46 Zab 31:5;Mdo 7:59Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Ee Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    34 Yesu akasema, "Baba, wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!" Wakagawana nguo zake kwa kupiga kura.

    43 Yesu akamjibu, "Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso."23:43 Paradiso maana yake bustani nzuri, hapa ina maana mahali zinapokwenda roho za wacha Mungu, yaani watakatifu.

    46 Yesu akapaza sauti yake akasema, "Baba, mikononi mwako naikabidhi roho yangu." Baada ya kusema haya, akakata roho.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.