Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 8

41 Kisha mtu mmoja, jina lake Yairo, aliyekuwa kiongozi wa sinagogi8:41 Nyumba ya ibada na mafunzo., akaja na kuanguka miguuni mwa Isa, akimwomba afike nyumbani mwake, 42 kwa kuwa binti yake wa pekee, mwenye umri wa miaka kumi na mbili, alikuwa anakufa.

Isa alipokuwa akienda, umati wa watu wakamsonga sana.

Veja também