Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 1

Wanafunzi wa kwanza wa Isa

16 Isa alipokuwa akitembea kando ya Bahari ya Galilaya, aliwaona Simoni na Andrea nduguye wakizitupa nyavu zao baharini, kwa kuwa walikuwa wavuvi. 17 Isa akawaambia, "Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu." 18 Mara wakaacha nyavu zao, wakamfuata.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também