38 Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu8:38 Mwana wa Adamu ni jina la Isa Al-Masihi kujishirikisha na udhaifu wa mwanadamu. naye atamwonea aibu wakati atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu."
Publicidade