Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 20

25 Lakini Isa akawaita wote pamoja na kuwaambia, "Mnafahamu kuwa watawala wa watu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, nao wenye vyeo huonesha mamlaka yao. 26 Isiwe hivyo kwenu. Badala yake, yeyote anayetaka kuwa mkuu miongoni mwenu hana budi kuwa mtumishi wenu,

Veja também