Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 22

17 Tuambie basi, wewe unaonaje? Je, ni halali kulipa kodi kwa Kaisari, au la?"

18 Lakini Isa alifahamu kusudi lao mbaya, akawaambia, "Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega? 19 Nionesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi." Wakamletea dinari. 20 Naye akawauliza, "Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?"

21 Wakamjibu, "Ni vya Kaisari."

Basi Isa akawaambia, "Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também