59 Yusufu akauchukua mwili wa Isa, akaufunga kwa kitambaa cha kitani safi, 60 na kuuweka katika kaburi lake mwenyewe jipya, alilokuwa amelichonga kwenye mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kubwa katika ingilio la kaburi, akaenda zake.
Publicidade

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.