Pular para o conteúdo
Publicidade

Nahumu 1:2,3

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

Hasira ya Mwenyezi Mungu dhidi ya Ninawi

2 Mwenyezi Mungu ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi;

Mwenyezi Mungu hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu.

Mwenyezi Mungu hulipiza kisasi juu ya watesi wake,

naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake.

3 Mwenyezi Mungu si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu,

Mwenyezi Mungu hataacha kuadhibu wenye hatia.

Njia yake ipo katika kisulisuli na tufani,

na mawingu ni vumbi la miguu yake.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    2 BWANA ni Mungu mwenye wivu, naye hujilipiza kisasi; BWANA hujilipiza kisasi, naye ni mwingi wa hasira; BWANA hujilipiza kisasi juu ya adui zake, huwawekea adui zake akiba ya hasira. 3 Kut 34:6,7;19:16;Zab 103:8;Mik 7:18BWANA si mwepesi wa hasira, ana uweza mwingi, wala hatamhesabia mtu mwovu kuwa hana hatia kamwe; BWANA ana njia yake katika kisulisuli na tufani, na mawingu ni mavumbi ya miguu yake.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    2 Bwana ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi;

    Bwana hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu.

    Bwana hulipiza kisasi juu ya watesi wake,

    naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake.

    3 Bwana si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu,

    Bwana hataacha kuadhibu wenye hatia.

    Njia yake ipo katika kisulisuli na tufani,

    na mawingu ni vumbi la miguu yake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Naum
Ver todos os capítulos de Naum