Pular para o conteúdo
Publicidade

Nehemia 6:15,16

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

Upinzani baada ya ukuta kukamilika

15 Basi ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano mwezi wa Eluli6:15 mwezi wa sita katika kalenda ya Kiyahudi; kazi ilichukua siku hamsini na mbili. 16 Adui zetu wote waliposikia kuhusu hili, mataifa yote yaliyotuzunguka yakaogopa na kupoteza ujasiri, kwa sababu yalitambua kuwa kazi hii imefanyika kwa msaada wa Mungu wetu.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    15 Basi huo ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli, katika muda wa siku hamsini na mbili. 16 Neh 2:10;4:1;6:1;Zab 126:2Ikawa adui zetu wote waliposikia, ndipo wamataifa wote waliotuzunguka wakaogopa, nao wakakata tamaa sana machoni pao wenyewe; maana waliitambua kazi hiyo ilivyotendwa na Mungu wetu.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    15 Basi ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano mwezi wa Eluli,6:15 Eluli ni mwezi wa sita kwenye kalenda ya Kiyunani; katika kalenda yetu ni Agosti/Septemba. kazi ambayo ilichukua siku hamsini na mbili. 16 Adui zetu wote waliposikia kuhusu hili, mataifa yote yaliyotuzunguka yakaogopa na kupoteza ujasiri, kwa sababu yalitambua kuwa kazi hii imefanyika kwa msaada wa Mungu wetu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.