Pular para o conteúdo
Publicidade

Números 5

29 " Basi, hii ndiyo sheria ya wivu mwanamke anapopotoka na kujitia unajisi akiwa ameolewa na mumewe, 30 au hisia za wivu zinapomjia mwanaume kwa sababu ya kumshuku mkewe. Kuhani atamfanya huyo mwanamke kusimama mbele za Mwenyezi Mungu na atatumia sheria hii yote kwa huyo mwanamke.

Veja também