3 Wasalimuni Prisila16:3 kwa Kiyunani ni Priska na Akila, watumishi wenzangu katika Al-Masihi Isa. 4 Wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu; wala si mimi tu ninayewashukuru bali pia makundi yote ya waumini walio watu wa Mataifa.
Publicidade

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.