17 Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, "Naomi ana mtoto wa kiume." Wakamwita jina Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.