15 Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula, 16 naye mmoja wenu akamwambia, "Nenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba," pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini? 17 Vivyo hivyo, imani peke yake, kama haikuambatana na matendo, imekufa.