1 Zab 51:1;2 Sam 14:5;1 Fal 20:35;Mt 21:33,45;Lk 15:11Ndipo BWANA akamtuma Nathani aende kwa Daudi. Naye akamwendea, akamwambia, Palikuwa na watu wawili katika mji mmoja; mmoja wao alikuwa tajiri, wa pili maskini.
7 1 Sam 16:13;2 Sam 7:8Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nilikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa kutoka kwa mkono wa Sauli; 13 1 Sam 15:24;2 Sam 24:10;Ayu 7:20;Zab 32:5;51:4;Mit 28:13;Zab 32:1;Mik 7:18;Zek 3:4Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.